Licha kuwepo maelfu ya askari wa Marekani huko Iraq, serikali ya Marekani imeongeza waaalamu wake wa kijeshi huko Iraq.
Chuck Hagel ambaye ni waziri wa ulinzi wa Marekani amesema kuwa: serikali yake imetuma wataalamu 130 ili kujaribu kutafuta njia ya ufumbuzi wa kukabiliana na kundi la kigaidi la Daesh linalokosesha amani raia wa Iraq.
wataalamu hao wamesasiri Iraq Jumanne ya Jana.
yafaa kuashiria kwama kundi hili la Daesh ndilo linalopambana na serikali ya Syria.
13 Agosti 2014 - 08:20
Msimbo wa Habari: 630821
Licha kuwepo maelfu ya askari wa Marekani huko Iraq, serikali ya Marekani imeongeza waaalamu wake wa kijeshi huko Iraq.